Watu wanajumuika, hapa walafi watapasuka...!!!

natamani nami nijumuike, pilau tamu acha kabisa.
 
Usiku wanavimbiwa na kusaza afu eti mchana wanajidai kushinda na njaa.
 
Kuna mroho mmoja namsubiri hapa......
 
dah! hiyo ni hatari yaani ni kula na kusaza.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…