Wanatangaza nchi unaita ujijnga. Labda niwape wazo kama litafaa na halitathiri Ndege. Ndege zote tuzi-paint picha ambazo zinaonyesha vivutio vyetu vya utalii. Mfano.Who care
Ujinga mtupu
Wataalamu wa ndege wanadai,ni muhimu ndege iwe na rangi nyeupe kuepusha ajaliWanatangaza nchi unaita ujijnga. Labda niwape wazo kama litafaa na halitathiri Ndege. Ndege zote tuzi-paint picha ambazo zinaonyesha vivutio vyetu vya utalii. Mfano.
View attachment 1247730View attachment 1247730
Lakini nusu ya Emirates zinazo rangi kwa 75%Wataalamu wa ndege wanadai,ni muhimu ndege iwe na rangi nyeupe kuepusha ajali
Hakuna ndege ya hivo duniani, %70 au zaidi ya rangi ya ndege lazima iwe nyeupe.Wanatangaza nchi unaita ujijnga. Labda niwape wazo kama litafaa na halitathiri Ndege. Ndege zote tuzi-paint picha ambazo zinaonyesha vivutio vyetu vya utalii. Mfano.
View attachment 1247730View attachment 1247730