Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
"Usikaone hivyo kana pesa kweli"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sisi tusio na makalio wala sura nzuri sijui tutatambulishwaje mweeeeeh mungu saidia tu


Shemeji yenu huyu.... ana TABIA NJEMA SANA...... yaani hata dada zangu hamuoni ndani......... familia yao wote wameolewa na hakuna aliyeachika...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sisi tusio na makalio wala sura nzuri sijui tutatambulishwaje mweeeeeh mungu saidia tu
Hahahaha hahahaha ....wallah huu utambulisho ni fireeeeShemeji yenu huyu.... ana TABIA NJEMA SANA...... yaani hata dada zangu hamuoni ndani......... familia yao wote wameolewa na hakuna aliyeachika...