Watu wana majibu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,404
36,543
IMG-20181130-WA0031.jpg
 
Huyu jamaa hata aibu Hana yaani kaamua kufanya biashara ya jina MUNGU laana itamfuta aseee..
Ni heri wenzake kina mpoki, joti na wengine wanaendelea na mishe zao za kutafuta ugali kihalali, sio huyu anayetafuta pesa za haraka kwa utapeli
 
Huyu jamaa hata aibu Hana yaani kaamua kufanya biashara ya jina MUNGU laana itamfuta aseee..
Uyu fala anadhalilisha sana kanisa kuna wachungaji wahuni wenzake wanamwalika Usa kwenda kumjaza ujinga eti injili ya kisasa wanakera sana
 
Mkuu DINI na UGANGA wa KIENYEJI Ni BIASHARA ZIISIZO NA MTAJI
:Dyeah,si uliona Dr mwaka alivyovuna pesa...na hawa tiba mbadala wanauza very expensive dawa zao kuliko hospital sometime,Kuna dada yalimkuta huko hana hamu na hao tiba mbadala
 
Kuna jamaa alitoka kifungoni mwaka 1998 akaja home km ombaomba ila aliomba vitu 2 tu, MAKER PEN na TSH 500,niliona Ni vitu vidogo sana alipo pewa alishukuru saaaaana akaondoka zake.Baada ya miezi 6 alirudi Kuja kutoa shukran kuwa Kawa Mkurugenzii wa Kampuni ya Uganga na Ana maisha mazuri saana!
 
Back
Top Bottom