Hapa Naangalia Videos za Albam zake za Force de Grape, Efrakata, Monde Arabe na Afaire D' Etate ni hatari the Gland Mopao, papa Fololo, acha kabisa jamaa alitisha
Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!