Watu wana faranga bhana

Makada walishageuzwa machawa....tumebakia na deep state
 
Fvck CCM
 
Hio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?

Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?

Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...
Lazima use na offshore accounts, ukishagusa 500M na kuendelea huwezi ukatunza mpunga kwa benki zetu, alafu hiyo ya crypto nayo naamini ni moja ya mbinu kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…