comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,805
- 18,214
- Thread starter
-
- #21
Na hamna wa kutuokoaHii nchi inaliwa sana ndugu zangu
Ndio maana mo dewji huwa ana sala aisee, maana ana jua hawa madogo wana vuna mkwanja kilaini.Hio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?
Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?
Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...
Mpaka 2030 hao madogo watakua ma trillionea, kwanza gari wanazomiliki Kwa Africa sidhani kama zipoNdio maana mo dewji huwa ana sala aisee, maana ana jua hawa madogo wana vuna mkwanja kilaini.
Hatujui anamiliki account bank ngapi, tz na nnje ya nchi, hiyo ni moja tuu, siku akija raisi atakaewashughulikia mafisadi jela hazitatoshaWatu wana hela mpaka basi.
Kwa unyonge nasema hawana hata furaha huko walipo🤨
Huko umeenda mbal Sana, kuna watu hata laki5 hawajawah kuishika Kwa pamojaHalafu Kuna sisi tunatafuta hata 100m tu miaka na miaka
Kweli vidole havifanani
Pesa iko Kwa watu hawazid hata 10Ndo maana pesa hakuna mtaani, pesa zote wamejilimbikizia
Mtoto pendwa wa kiziga tapeli wa uniform za jeshiElvis rafiki pendwa wa abdul
🤣🤣Mtoto pendwa wa kiziga tapeli wa uniform za jeshi
Mungu atusaidieHuko umeenda mbal Sana, kuna watu hata laki5 hawajawah kuishika Kwa pamoja
Jiokoe mwenyewe mkuuNa hamna wa kutuokoa
Waifu material njoo tuhameDah! Hii nchi nikipata hela nahama
Umechelewa now nipo London😝Waifu material njoo tuhame
Za uswiss au sychellesHatariii hiyo Mzee, bado za nnje ya nchi huko