comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,805
- 18,214
SawaKada yipi huyo? Acha umbea,abdul mwenyewe anamiliki carina T I namba A, hamtaki tule keki nyie? Mbona lijikeki lenyewe likubwa tu? Hadi tuzongane?
Ndio AMANI NDIO KILAKITUTuendelee kutunza Amani kama
Amani ndio kila kitu
Aman Aman Aman
Ndio AMANI NDIO KILAKITU
MAMA SAMIA MITANO TENA
Hatariii hiyo Mzee, bado za nnje ya nchi hukoTutunze Amani
Mimi mwenyewe hizo faranga sijaoona iseeJf wamefuta ushahid 🤣🤣🤣
Account inasoma kama b26 hiviMimi mwenyewe hizo faranga sijaoona isee
Dah,😢Account inasoma kama b26 hivi
Weka tenaJf wamefuta ushahid 🤣🤣🤣
EeeehAiseeeeeee
Inasikitisha sanaaaa, inawezekana hiyo ndio account yenye pesa kidogo kuliko zoteHio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?
Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?
Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...