Watu wamepinda

Ha ha ha haaaaaaa.. Eti tigo nao wamerespond. Duh
 
Ama kweli nimeamini, hawa tigo nao wamebashitika kwenye tasnia ya mawasiliano.

Bora tubakie huku halotel... huku hakuna ubabaishaji wa kuuziana vyeti wala nini.... mambo yote [HASHTAG]#munguwadar[/HASHTAG] anasawazisha.
 
Hahaa hawa ndio wanafanya mb zinapunguzwa kila cku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…