Watu wamedata !!!

Awapi anatuzuga tu aonekane yupo Israel ili matukio anayopiga tusimhisi yeye , juzi kati kapokea mrembo dar kimyakimya, uzuri mrembo hana kifua kaja kumshukuru jamvini. Leo tena kanaswa na joanah, mkimpiga vizuri joanah atawatajia jina lake
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mnachafua kisiasa nyie, yupo mstari wa mbele kabisa
 
Yuko mmoja hapa ungalited karibia na samunge ukipita jioni jioni anakiwasha hadharani hadi wamama wanamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…