Watu walio omba bachelor kupitia diproma zao

ant robbery

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
111
Reaction score
53
jaman naomba kuuliza ivi hawa walio omba bachelor kupitia diproma walizo soma je waliomba kupitia nact au tcu ?na mpaka sasa kuna mwanafunzi yeyote alie chaguliwa bachelor kupitia diproma jaman maomba kujibiwa tafadhali niko serious
 
kabla sisi hatujawa serious tunakuomba wewe kwanza uanze kuwa serious hapo katika hilo neno lako la diproma.
 
Fuatilia website ya vyuo ulivyoomba majina yanatolewa na vyuo husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom