Watu walio na midomo iliyo babuka

Katika kila watanzania kumi,sita midomo yao imebabuka, kwahiyo huwezi kutukwepa kila sehemu tupo, konda anayepokea nauli yako, mdomo babuka. Dereva wa bodaboda alikubeba mdomo babuka.pale kwenye mpesa unapotoaga hela yule mtu mdomo babuka. Sasa kwa kukujuza zaidi ni kwamba wenye midomo iliyobabuka watapewa nafasi nyingi serikalini hivo ujiandae kukimbilia kenya mleta Mada
 
Wengine wamezaliwa hivyo na wengine mapungufu ya vitamen co wote watakuwa na H I V pia magojwa ni majiwa ya MUNGU haifai kunyanyapaa hakuna anaeijua Kesho yake ni kumuomba Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa haupimwi kwa macho ,,,,,,usidhalilishe wagonjwa kwani hawakupenda kuumwa na binadamu tunapita hujui lini utapata magonjwa makubwa kama wao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama sabrina wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya mambo yaone kwa jirani tu, omba yasikukute au yampate ndug yako wa karibu.
 
Ila kwa watu ambao hawajazoea kukaa maeneo yenye baridi, wakienda maeneo hayo basi midomo yao hubabuka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…