Watu walio na midomo iliyo babuka

Siku hizi kuna ugonjwa mmbaya zaidi ya HIV.. Unaitwa homa ya ini huo ni hatari zaidi ya ukimwi.. Hauitaji michubuko busu tu chali au majimaji yoyote ya mwili... So take care

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km Ingekua Hvyo Bac Nani Angeupata UKIMWI, Kwan Wengine Macho Hawana Unayo Ww Tu! Pombe Znafubaza Ngozi, Gongo Znababua Midomo, Kisukari Kinaharibu Ngozi, Wengine Wana Dry Skin So Asipopaka Lipshine Midomo Hupasuka Na Kuweka Vdonda Lkn Hawa Wote HIV Ni Negative. Ukiona Mtu Anaonyesha Dalili Za HIV Kwa Macho, Bac Huyo Co Msambazaji Wa HIV. Wanaosambaza Kwa Kasi Zaidi HIV Ni Wale Ambao Hata Leo Ukiambiwa Yule Anao Utabisha Tu. Yule Anaeonekana Kwa Kumwangalia Bas Ujue Ameanza Kushambuliwa Na AIDS. Mtu Anaweza Akawa Na HIV Lkn Akawa Ana Shine Tu Na Kila Mtu Anamtamani, Yan Ana HIV Lkn Kinga Yake Bado Ipo Juu. Cku Kinga Ikishuka Na Kuanza Kushambuliwa Na Magonjawa, Ndo Unaweza Kuhisi. Wengine Wanasema Matumiz Ya ARV Yanafubaza Ngozi Japo Cna Uhakika Sn. Ss Umkute Mtu Anao, Hajaanza ARVs, Na Kinga Ipo Juu Bado, Huyo Utamla Tu Tena Kimshikaki, Ndimu Na Pilipili Kwa Mbali.
 
Huu uzi inabidi nikae tu kimya maana muelekeo wake ni wa vita ya 3 ya dunia.
 
Aiseeeeeeeee.......nimejifunza kitu hapa na ninazidi kupata uhakika na nilichokuwa nakifikiria.......hivi kwanini watu wanapenda kuwaua wenzao kwa makusudi lakini.......nawaza tu kwa sauti
Mungu aendelee kutulinda
 
Aiseeeeeeeee.......nimejifunza kitu hapa na ninazidi kupata uhakika na nilichokuwa nakifikiria.......hivi kwanini watu wanapenda kuwaua wenzao kwa makusudi lakini.......nawaza tu kwa sauti
Mungu aendelee kutulinda
Umejifunza nini?
 
Huyu mleta thread hanatofauti na wanaowaua vikongwe kisa tu ana macho mekundu,usije ikawa imeanza kampeni ya kuwanyanyapa wenye midomo iliyobabuka kwa kisingizio ana Ukimwi,hakuna anayejua mwisho wa maisha yake hapa Duniani isipokuwa Mungu tu,wangapi? walikuwa bukheri wa afya wamefariki kwa sababu mbali mbali wamewacha wenye Hiv wanaendelea kuishi,nani? anajua hatma ya maisha yake mwaka huu au nani? ana uhakika wa kuumaliza mwaka huu(20017)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…