Watu walio na midomo iliyo babuka

Hapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
Huyo bibi yako kanenepa?

Sent from my TV
 
nashindwa hata cha kucomment... kwenye familia yangu nna ndg ameathirika..nipo postive zaid kwa watu kma hawa..hata huwa sipend kuwaongelea imagn upite hapa uone linaongelewa gonjwa hili...mengn tuachage tu mambo mengine... ishu ni kuwa nikua waaminifu..kupima kilamara ukiingia kwenye rlshp mpya...!
 
Hata kwenye au ukoo huwa tunaona jamani
 
Sikijui kisukari...ila kama kinamaliza mwili basi si kila mwenye kupungua ana HIV...jamaa uliyemkuta hospital kapungua huenda ilikuwa kisukari

Sent from my TV
Wewe kupungua kwa HIV ni kwingine kabisa,japo kisukari kinatisha nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…