Watu walio na midomo iliyo babuka

Watu walio na midomo iliyo babuka

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Hivi inakuwaje watu wanababuka midomo?yaani midomo inakuwa na wekundu hivi kama kaunguzwa moto,,halaf nimechunguza nikagundua watu walioathirika na HIv wengi wao wamebabuka midomo sijui ni kwaajili ya dawa zao wanazomeza,,kuna sehemu nimekuja hapa yaan watu nnaowafaham afya zimezorota ,ngozi zao hazing'ai,,midomo imebabuka,
Pia kuna huyu dada nilimuacha vyema tu mzuri kweli nimemkuta nae midomo imebabuka ,ngozi yake haing'ai kama mwanzo,,
Katika maisha yangu nawaogopa sana watu waliobabuka midomo na ngozi hazing'ai ,,hata unipe nini mwanaume aliebabuka midomo hapana kabisa naonaga kama ni wagonjwa,,maana nishatembelea wodi ya wagonjwa wa HIV wotr midomo yao imebabuka,, (je ninavyohosi ni kweli asilimia ngapi??) Halaf nikimuhisi mtu kaathirika na kweli anakuwa kaathirika kweli nikimuangalia macho yake,ngozi ,,,tumuombe Mola aisee magonjwa haya mabaya sana
Nakumbuka zamani kuna kijana mmoja alikua akinifukuzia ananialika tukale wote mara anitumie pesa,,sasa ile nikitaka kwenda kuonana nae roho inakataa kabisa,, mpaka akaacha kunisumbua,,sasa siku zikapita sijaonana nae nikajua alisafiri ,,kumbe kalazwa hospital ,siku moja naenda kusalimia mgonjwa si nikakutana nae anafanyishwa mazoezi kakondaa midomo imebabuka,,nywele zimekuwa lain halaf zimenyonyoka ,,anatembelea mti ,ngozi imepauka hata ukiipaka mafuta sidhani kama yatashika,, nadhan alitaka hata kukata njia nyingine tusionane lakin hakuweza ,,aisee nilishtuka jamanii,,nikasema kumbe nilikimbia moto,,
Mim huwa najitahidi sana kuchagua aisee na ni vyea zaidi kupima na kutumia kinga,,,pia msifanye sana fanyeni kidogo tu kuepuka michubuo
Mambo yashaharibika oohoo
Najua kuna watu wanaokunywa pombe kali midomo nao hubabuka lakin wengi waliobabuka ni waathirika wa HIV,,,
 
Mkuu mbona una judge mtu kwa hivyo vigezo.
Binadamu tupo tofauti sana wewe unaweza kuona anadalilk fulani kumbe kwa mwingine ndio muonekano wake.

Vipimo tu ndio vinacomfirm kila kitu acha hiyo nadharia mkuu
Hapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
 
Pole mkuu, moembe Mungu akuepushe tu na ao watu,... Kisaikologia ukiona unadharau na kukashifu watu wa aina fulan jua unakaribia kua kama wao..
Nimedharau wapi,,mbona unawaza kudharauliwa wewe hayo magonjwa yapo inabidi kuyaepuka na huwezi jua wamepata bahati mbaya
 
Hivi inakuwaje watu wanababuka midomo?yaani midomo inakuwa na wekundu hivi kama kaunguzwa moto,,halaf nimechunguza nikagundua watu walioathirika na HIv wengi wao wamebabuka midomo sijui ni kwaajili ya dawa zao wanazomeza,,kuna sehemu nimekuja hapa yaan watu nnaowafaham afya zimezorota ,ngozi zao hazing'ai,,midomo imebabuka,
Pia kuna huyu dada nilimuacha vyema tu mzuri kweli nimemkuta nae midomo imebabuka ,ngozi yake haing'ai kama mwanzo,,
Katika maisha yangu nawaogopa sana watu waliobabuka midomo na ngozi hazing'ai ,,hata unipe nini mwanaume aliebabuka midomo hapana kabisa naonaga kama ni wagonjwa,,maana nishatembelea wodi ya wagonjwa wa HIV wotr midomo yao imebabuka,, (je ninavyohosi ni kweli asilimia ngapi??) Halaf nikimuhisi mtu kaathirika na kweli anakuwa kaathirika kweli nikimuangalia macho yake,ngozi ,,,tumuombe Mola aisee magonjwa haya mabaya sana
Nakumbuka zamani kuna kijana mmoja alikua akinifukuzia ananialika tukale wote mara anitumie pesa,,sasa ile nikitaka kwenda kuonana nae roho inakataa kabisa,, mpaka akaacha kunisumbua,,sasa siku zikapita sijaonana nae nikajua alisafiri ,,kumbe kalazwa hospital ,siku moja naenda kusalimia mgonjwa si nikakutana nae anafanyishwa mazoezi kakondaa midomo imebabuka,,nywele zimekuwa lain halaf zimenyonyoka ,,anatembelea mti ,ngozi imepauka hata ukiipaka mafuta sidhani kama yatashika,, nadhan alitaka hata kukata njia nyingine tusionane lakin hakuweza ,,aisee nilishtuka jamanii,,nikasema kumbe nilikimbia moto,,
Mim huwa najitahidi sana kuchagua aisee na ni vyea zaidi kupima na kutumia kinga,,,pia msifanye sana fanyeni kidogo tu kuepuka michubuo
Mambo yashaharibika oohoo
Najua kuna watu wanaokunywa pombe kali midomo nao hubabuka lakin wengi waliobabuka ni waathirika wa HIV,,,
Wengine midomo yao imechubuka kwasababu ya kulamba "K"eti ili wapendwe zaidi na wapenzi wao.
Mungu anakuona.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hivi ni vipimo vyako (kubabuka kwa mdomo) basi na 50Cent ni mwathirika. Mimi huwa nahisi ni sababu ya unyonyaji K uliovuka mipaka
 
50 hajababuka mdomo wake ni mwekundu,,tofautisha kubabuka ,mfano kuna watu wana lips za pink
 
Back
Top Bottom