Watu wadini karibuni Kuna swali lenu hapa.

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
2,435
Reaction score
4,931
• Je ni nani alidecide which books would go into the Bible na mamlaka gani alikuwa nayo kuexclude others parts kama the Book of Enoch or Gospel of Thomas?
• Kama bibilia inacomplete and final truth, then why did God allow so many different versions, translations, interpretations(mfn wasabato wanatafsiri tofauti na catholic), and denominations to exist nyingi ambazo completely zinadisagree on what the "truth" actually means?

🤔🤔🤔If the Bible is God’s word, why were humans allowed to edit it?
 
Hapo xaxaa , all and all, all of that is b'coz of self interest and so called white supremacy,...!!?
 
Je ni nani alidecide which books would go into the Bible na mamlaka gani alikuwa nayo kuexclude others parts kama the Book of Enoch or Gospel of Thomas?

🤔🤔🤔If the Bible is God’s word, why were humans allowed to edit it?
Kiranga
 
Mtu mweusi , hio yote ili kumtoa akili mtu mweusi na kuficha ujio wa watu weupe duniani, inatosha kwa hayo machache mkuu
 
Mungu hutumia mtu yeyote ili kufikisha au kufanikisha makusudi yake. Tokea zamani walikuwepo waandishi ambao walikuwa wanafuatilia maandiko na kuweka historia kuhusu mwenendo wa torati, na hao watu walikuwa wema kabisa endorsed na Mungu mwenyewe.

Mfano: Kuna mtu anaitwa Ezra, huyu alikuwa mwandishi aliyetumiwa na Mungu kurudisha vyombo vya nyumba ya Mungu baada ya Israel kuwa wametekwa na kupelekwa utumwani Babeli.

Katika mkitadha huohuo, Mungu alimtumia mfalme wa Babel anaitwa Koreshi, akalainisha tu moyo wake ili kuwarejesha Wana wa Israel kutoka Babeli kurudi Yerusalemu ambako walitwaliwa mateka. Kumbuka huyu Koreshi ni mfalme wa Babeli taifa ambalo lilitumika kuteka na kuteza Israeli, lakini anatumika kurudisha uhuru wao.
Mungu anamwita Koreshi ni mtumishi wake, mpakwa mafuta wake Isaya 45:1

Kwa hiyo, Chochote unachokiona kinafanyika kiko kwenye kalenda ya Mungu kwasababu toka mwanzo Mungu alimtumia wao ambao aliwaamini ili kuhakikisha kile tu ambacho anakimusudia kiwafikie wanadamu ndio kinawafikia.

Lengo kuu ni kuhakikisha Dunia inapata wokovu na si vinginevyo, Sasa wewe Kama unahisi Kuna lengo lingine la Mungu pole sana. Na kupitia Biblia hii hii wokovu tayari upon duniani, na roho mtakatifu yupo kulikamilisha kusudi la wokovu na kuwatia muhuri watu wake tayari kwa unyakuo.
 
• Je ni nani alidecide which books would go into the Bible na mamlaka gani alikuwa nayo kuexclude others parts kama the Book of Enoch or Gospel of Thomas?
• Kama bibilia inacomplete and final truth, then why did God allow so many different versions, translations, interpretations(mfn wasabato wanatafsiri tofauti na catholic), and denominations to exist nyingi ambazo completely zinadisagree on what the "truth" actually means?

🤔🤔🤔If the Bible is God’s word, why were humans allowed to edit it?
Dini ni mchezo mchafu na zipo kwa ajili ya watu wapumbavu.
Vitabu vya dini vinatafsiriwa hadi kwa Kimasai. Nitafutieni kitabu cha sayansi kilichotafsiriwa kwa Kimasai
 
1. There is no book which is called a bible
1. There is NO book which is called Bible. Bible is a collection is a collection of 72 books. In Greek language biblos, would mean, any book is a Bible.
2. The proper name is supposed to be Sacred Scriptures I.e sacra scriptural.
3. The number of the books to be included in the collection The canonical books was decided by the Magisterium. Likewise Chrismas to be celebrated on the 25th Dec or 6th Jan
Vitu vyote hivi vimetengenezwa some stories in the bible ni fake
 
Dini ni mchezo mchafu na zipo kwa ajili ya watu wapumbavu.
Vitabu vya dini vinatafsiriwa hadi kwa Kimasai. Nitafutieni kitabu cha sayansi kilichotafsiriwa kwa Kimasai
I have also been thinking about this🤔
 
Mungu hutumia mtu yeyote ili kufikisha au kufanikisha makusudi yake. Tokea zamani walikuwepo waandishi ambao walikuwa wanafuatilia maandiko na kuweka historia kuhusu mwenendo wa torati, na hao watu walikuwa wema kabisa endorsed na Mungu mwenyewe.

Mfano: Kuna mtu anaitwa Ezra, huyu alikuwa mwandishi aliyetumiwa na Mungu kurudisha vyombo vya nyumba ya Mungu baada ya Israel kuwa wametekwa na kupelekwa utumwani Babeli.

Katika mkitadha huohuo, Mungu alimtumia mfalme wa Babel anaitwa Koreshi, akalainisha tu moyo wake ili kuwarejesha Wana wa Israel kutoka Babeli kurudi Yerusalemu ambako walitwaliwa mateka. Kumbuka huyu Koreshi ni mfalme wa Babeli taifa ambalo lilitumika kuteka na kuteza Israeli, lakini anatumika kurudisha uhuru wao.
Mungu anamwita Koreshi ni mtumishi wake, mpakwa mafuta wake Isaya 45:1

Kwa hiyo, Chochote unachokiona kinafanyika kiko kwenye kalenda ya Mungu kwasababu toka mwanzo Mungu alimtumia wao ambao aliwaamini ili kuhakikisha kile tu ambacho anakimusudia kiwafikie wanadamu ndio kinawafikia.

Lengo kuu ni kuhakikisha Dunia inapata wokovu na si vinginevyo, Sasa wewe Kama unahisi Kuna lengo lingine la Mungu pole sana. Na kupitia Biblia hii hii wokovu tayari upon duniani, na roho mtakatifu yupo kulikamilisha kusudi la wokovu na kuwatia muhuri watu wake tayari kwa unyakuo.
Hajajibu swali mkuu rejea na jibu swali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom