Dah, waulaya na Iran mimi nadhani ni wehu! Ila huyo reporter wa BBC ni kiboko! Lakini mbona huwa sioni habari zake? Natamani nione akimhoji mtu live nijue kilichomo kichwani mwake!C
Binafsi nadhani kati ya namba 1 wa ulaya na namba 2 wa Iran, wote ni ngoma droo. Sijaona aliyempita mwenzake. Wote wako kama takataka zilizotupwa. Ha ha ha
Aise huu Uzi kiboko nimecheka sana.Umefikiria nini hadi ukaleta hii topic?I wish to know what went thru ur head mpaka ukaleta uzi wa namna hii?Hakika hii ni funga mwaka bado naendelea kucheka huenda hadi mwakani.Very funny u made my day.
Dah, waulaya na Iran mimi nadhani ni wehu! Ila huyo reporter wa BBC ni kiboko! Lakini mbona huwa sioni habari zake? Natamani nione akimhoji mtu live nijue kilichomo kichwani mwake!
Duuu...hii noma sana. Lakini mbona huyo mtangazaji anataka kufanana na Rais fulani aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tz, (kwa sura hivi). sasa BBC walimpaje kazi? interview alifanyaje? kwani hata uwe na akili nyingi sana, ukienda kwenye interview ukiwa mchafu, ndo imetoka
Hahahahaaaaa, hapo red kuna kaukweli hivi, anafanana na Chee nkapa!Duuu...hii noma sana. Lakini mbona huyo mtangazaji anataka kufanana na Rais fulani aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tz, (kwa sura hivi). sasa BBC walimpaje kazi? interview alifanyaje? kwani hata uwe na akili nyingi sana, ukienda kwenye interview ukiwa mchafu, ndo imetoka
Hua unafikiri kupitia kona IPI? Umeambiwa masharti ya mganga yamehusika sasa swali lako si limekwisha jibiwa? Ila hapo red carpet kama bukta ya le mutuzzzz u knw!