Watu wa Novichok, Trust No One!

Watu wa Novichok, Trust No One!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,544
Reaction score
18,089
Putin akiwa kwenye Kikao na watu wake wa karibu kabisa watu wa security , lkn bado kaweka distance, kweli kwenye power usiamini mtu!

1646556804320.jpeg
 
Social distance..[emoji40]
 
hapana mkuu, iyo ilikua video call. kwenye meetings za hivyo lzm kiongozi awe na watu baadhi wa ku take notes. ndo ndo maana hao wapo nyuma ya camera

Hao siyo watu wa camera, ni watu wake wa karibu kabisa!

Hapo ni Macron alipomtembelea Putin, naye alipewa 6 meter table kama hiyo, huyo jamaa Putin katokea KGB hivyo anajua kwamba anawindwa kosa moja tu basi kwisha.

1646557493694.jpeg
 
Hao siyo watu wa camera, ni watu wake wa karibu kabisa!

Hapo ni Macron alipomtembelea Putin, naye alipewa 6 meter table kama hiyo, huyo jamaa Putin katokea KGB hivyo anajua kwamba anawindwa kosa moja tu basi kwisha.

View attachment 2140849
Acha kutafsiri vitu ambavyo sio sahihi.Kama watu wameweza kukaa meza moja na rais wakitaka kumdhuru hawawezi shindwa kwasababu ya urefu wa meza.Ndo maana unaona hata hao askari wana silaha.kwahiyo unataka kusema risasi haifiki umbali wa hiyo meza.
 
Kama wangetaka kumdhuru,wangemdhuru tu Hana njia ya kukwepa...hiyo 'trust nobody' ndiyo inayofanya hata hao wasifikirie kumdhuru mzee Putin...labda Kuna sababu ya ziada ya kukaa vile,in my opinion.
 
Back
Top Bottom