Watu wa namna hii huwa wananikera si kidogo

Kuna Siku nishawahi kuachwa solemba Century Cinemax , tena nililipia kabisa ticket za watu wawili nikaachwa nimezubaa. Shit happens..

Daah pole sana mkuu...na ulipomuuliza alisemaje? kwangu mimi mtu kama huyo hata harufu ya hela yangu hatokaa aisikie
 
Yaani bora wewe umeliona mkuu. Baada ya muona napata sana tabu na watu wa dizaini hii. Nilichokua nimeamua ni kwamba nakupa dakika 10 za kukusubiria hujatokea naondoka. Ukiniambia sijui nini nami nitakuambia muda wangu na wewe umekwisha. Hata kama mimi ndio nina shida bora niondoke zangu. Mijitu mingine hovyo sana.

Yes hii ndo dawa yao
 
Yes hii ndo dawa yao

Mkuu nimepata sana tabu mpaka nikawa najiuliza au mimi ndio nina matatizo ya kupanga muda? Mbona kila tukiahidiana mimi nakumbuka vizuri na huwani eneo la makutano mapema zaidi kuepuka kumuweka mtu. Huwa sipendi kuchelewa kwenye appointment hata kidogo. Huu utaratibu umenisaidia sana kuwa punctual katika kila jambo. Na pia sijawahi sahau kitu. Yaani huwa najiona labda nina shida. Yaani nipo makini kupitiliza.
 
Kilichonishangaza kwenye hii thread wachangiaji zaidi wa WATANO wa kwanza kulaani hii tabia ni wanawake!!! Lakini kwa stats zangu binafsi katika wanawake 10 niliopanga nao ahadi 1 tu ndio anaweza kuwahi!!! Tena huyu mmoja atakuja au atatoka ndani 30mins late!

Yaani uko Mbagala,una appointment na mwanamke ukamchukue Tegeta unamwambia natoka mbagala sasa hivi nakuja huko anakwambia sawa, na foleni zote hizi za Dar unafika tegeta unakuta hayuko tayari na akikuweka muda mfupi ni nusu saa!!!
 
Hahahaa mkuu si wanawake tu....wanaume nao wapo wengi tu wa namna hii
 
wanaume wa aina hii hawanipi shida nawanyoosha siwakopeshi....issue akiwa mdada,inabidi uwe gentleman tu huku kimoyomoyo...................................!

Hahahaa...mimi nawanyoosha tu wanaume kwa wanawake....! Ndio maana mimi sitakagi kampani za kufuatana kama kumbikumbi....habari ya kumpitia mtu eti twende kanisani sijui chuo sitaki....na mimi sihitaji mtu anipitie
 
hata wewe naimani ulishawahi kufanya hivyo.......mambo aje Khantwe wangu

Hahahaaa....nakataa kwa herufi kubwa..!! mimi huwa najali sana muda wa watu aisee kama niliwahi kufanya hivyo ilikuwa kabla sijawa mkubwa...mi mzima wa afya nimekumiss tu wewe apo
 
why ask if u can have first hand experience!??

Hahaa....second hand is perfect for me! Am afraid that I could get stuck....hahaha those types are very hard to find u know....:A S wink:
 
Kama ni mpenzi, tambua kuwa anakuona wa kawaida/hakufeel au mara chache sana hana hela,
majuzi nnlilazimika kuvunja appointment kw kukosa hela,
iliniuma sana, ht bidada alihic kuchanganyikiwa,
sikumwambia kuw sina hela bt baadae nnlimpanga vzr, tumeahidian tena,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom