ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,079
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Alafu wewe mfilisti uliingia mjini usiku na gari la mifugo
Saivi umekaa Kiembe Mbuzi kwa ndugu yako unajifanya mjanja eti[emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Alafu wewe mfilisti uliingia mjini usiku na gari la mifugo
Saivi umekaa Kiembe Mbuzi kwa ndugu yako unajifanya mjanja eti[emoji23] [emoji23]
Hapo ni kituo cha daladala cha mbagalaHapo ndio bandarini au Coco Beach?
Mbona na hapo ni mkoa wa Tanzania??
Bora nisipajue hapo kuliko kuongozwa na mtu kapata zero....basi ndio maana mnapajua hapo
Hebu mweleze, kitendo cha kuja juzijuzi sasa anakuwa na kiburi kama makondaWw bila Shaka ni Ngosha..
Wenzako huo Mji tumeukalia tangu zaman enzi hizo inaitwa mzizima
Baada ya tuhuma ya jamaa yule mnaanza kuikana call me j!
Hata wa Chattle anapajuaMbona yule wa koromije anapajua hapo
Teh teh teh tehMfilisti baada ya kuingia jijini na gari lililoleta mifugo naona umeanza kuwa mjanja, angalau sasa unapanda hadi kwenye vivuko na kupiga picha eee!!