Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Acheni siasa za kitoto.In short, tunazidi ku make bad headlines kimataifa.
Tunapoelekea sipo kabisa.
Hili swala halitatuacha salama kabisa.
Wana lumumba mshaurini huyo dereva lori.
Watu wa mazingira mpo wapi!!?
View attachment 786233View attachment 786232
Mzee Unafikiri itachukua mda gani kukua? watu wanapanda kwanza kisha ndo wanakataMzee, hiyo miti itakayokatwa sisi tutapanda milioni 10 kuifidia sehemu nyingine, haya, sema lingine.
Watanzania sijui tulilogwa? I wonder kuona baadhi wanasupport bado ujinga au ukoloni mambo leo.In short, tunazidi ku make bad headlines kimataifa.
Tunapoelekea sipo kabisa.
Hili swala halitatuacha salama kabisa.
Wana lumumba mshaurini huyo dereva lori.
Watu wa mazingira mpo wapi!!?
View attachment 786233View attachment 786232
Nchi ni yetu, sisi tutapanda huku tunakata simultaneouslyMzee Unafikiri itachukua mda gani kukua? watu wanapanda kwanza kisha ndo wanakata
Maelezo murua, lakini umesahau kumtukana huyo mtoa mada, yaani kutukanwa ni haki yake!Watanzania sijui tulilogwa? I wonder kuona baadhi wanasupport bado ujinga au ukoloni mambo leo.
Tusipangiwe mambo, kiongozi wetu anawajua hao, that's why mwlm nyerere alishawahi kuwaita "wajinga tu hao" eti ukifika kwao wanakuulizia mambo ya nchi za jirani yako.
Hivi kungetokea kuwa eneo Hilo kuna madini adhimu dunia nzima yapo hapo na ni ghali sana, wangezungumza hayo anayoyaandika hapo huyo mzungu?
Mbona kuna madini ya plutonium na haya uranium kwenye maeneo yetu nyeti ya mbuga zetu, wakasema kuwa uchimbaji wake hauna madhara na wakatoa cheti cha "go ahead?" yaani yachimbwe? Sembuse stieglers gorge?
Mbona wao walisema kuhusu umeme wa kihansi uendelee lakini vyura wapande ndege kwenda kwao? Na wakawarudisha? Tena baada ya viongozi kuwagomea? Yaani wao waendelee kutuletea mitambo yao watunyonye?
Shiit????tuwe waelewa, umeme wa maji ndo umeme wenye gharama nafuu ulimwenguni ukifuatiwa na wind mill na umeme wa gesi
Nikitukana hukawii kuingia lupango, tofauti na hapo ningefanya hivyo. Lakini nafikiri atakuwa amenielewa. Isijekuwa mtoa mada ndo wale wanaovaa nguo za kuchanika na kwa bei kubwa, kuvaa heleni na pia Bila kusahau mlegezo na kula junk food ili aende sawa na akina Bieber na wengineo. Itakuwa vigumu ukiwaponda hao wenye kutoa mawazo ambayo na yeye kazi yake ni kusema "ndio mzee" na kuigaMaelezo murua, lakini umesahau kumtukana huyo mtoa mada, yaani kutukanwa ni haki yake!
Mkuu mimi ni Geographer mzuri tu tena wa kiwango cha University. Kwa hiyo tunapojadili ujue siongozwi na mihemko kama unavyojaribu kueleza. Hapa ni suala la opportunity cost.Je sisi kama watanzania tutafaidika vipi na umeme utakaozalishwa hapo ukilinganisha na faida tunazopata kwa eneo hilo kuwa under Unesco heritage.Kwahiyo mkuu unaona ni sahihi kurudia kosa lilofanywa na mwingine.? Unajua wao wanafanyajithada gani kupunguza hayo madhara.. umepewa ubongo kufikiri usiendeshwe na mihemko tu.
Na kinachonishangaza kwa hawa wehu ni kila siku wanakebehi Tanzania ya viwanda. Sasa wanadhani Tanzania ya viwanda itakujaje bila ya kuwa na umeme wa uhakika ?Au wanadhani kuwa viwanda vitaota kama uyoga bila kutengenezewa mazingira kwanza. Nimeamini kuwa ukikubali kuongozwa na form four failure una shida sana. Narudia tena .Go Magu Go.Si ndio hata mimi nashangaa, waTanzania wengine ni wasaliti kama huyu mtoa mada, sijui katumwa? Shenzi na jinga kabisa hili jamaa!
Fala babaako...yaani mtu anakuja na comment kila kitu kulaumu wazungu nawewe naupimbi wako unamtetea. U must be retardedFala wewe, wewe ndio una lack common sense, unajua Brazil inakata miti milioni ngapi kwa mwaka kule Amazon forest kwa ajili ya kupanda mahindi ya kulisha kuku Marekani? Umeshawahi kusikia wakipiga kelele, pumbavu kabisa!
As retarded as you are, definately notFala babaako...yaani mtu anakuja na comment kila kitu kulaumu wazungu nawewe naupimbi wako unamtetea. U must be retarded
....Go Magu Gooo..!Na kinachonishangaza kwa hawa wehu ni kila siku wanakebehi Tanzania ya viwanda. Sasa wanadhani Tanzania ya viwanda itakujaje bila ya kuwa na umeme wa uhakika ?Au wanadhani kuwa viwanda vitaota kama uyoga bila kutengenezewa mazingira kwanza. Nimeamini kuwa ukikubali kuongozwa na form four failure una shida sana. Narudia tena .Go Magu Go.