Watu wa mauzo wa kike wanahitajika

Watu wa mauzo wa kike wanahitajika

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,194
Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, leo tarehe 12.3.2018 inawatangazia nafasi za Salesman wa Kike. Elimu uwe na Bachelor Degree.

Kama una Kigezo Hicho na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba ututumie CV yako kwenye Email ifuatayo: hrfbde@gmail.com

Baaada ya kututumia CV yako kama ukichaguliwa tutakutumia tarehe ya Usahili na Usisahau Kuja na:

1. Kopi ya Vyeti Vyako 2. Passport size mbili

3. Kitambulisho Cha kupigia Kura au Kitambulisho cha Taifa au Pasi ya Kusafiria.

Asanteni Sana
 
Kuna zile cv za mwanzo tulituma ukasema zikitokea kaz nyingine utatu consider
 
Watanzania wengi hawana kazi, acheni kusumbua vijana wanaohangaika kutafuta ajira, kama tangazo tu unashindwa Kuandika likaeleweka hizo kazi zipo kweli?? Kama unataka help how to get a job, ushauri juu ya interview.. Ni pm
 
Sales *MAN* wa kike?
Mnafanya biashara ya bidhaa gani?
Deadline ya kupokes CV ni lini?
Nafasi ni ngapi?
Umri wa applicants usizidi mingapi?
Eti salesman wa kike

Jamaa atakuwa amepitiwa mkuu.
 
Nilishawahi kwenda kwenye interview miaka hiyo,nilichoka maana waliokuwa wananifanyia interview walikuwa complete empty set!!!
Nilijutia kupoteza muda wangu!!

BTW Salesman wa kike
 
Shida degree ila ingekuwa mnapokea watu hata diploma ya related field ningekuja.
 
Hakunaga SalesMan wa Kike, ni Bora ungesema Sales lady au Sales person.
 
Ninayo kampuni ya kurecruit, njoo nikupe watu
Naweza kupata sales and marketing mzuri na anaejitambua, atakaejua kusaka soko vizuri kabisa asiwe na maringo. Kama unao nakuomba pm ili nipate cv za angalau watatu wa kiume
Elimu ni diploma na kushuka chini, pia hata kama ni wa business ni vizuri. Biashara yangu kubwa ni kutafuta wateja wa fuels (petrol and diesel) dispenser pump na spear zake. Kituo ni Dar
 
Back
Top Bottom