zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
jiwe aka KOMWEJiwe Leo kapasuliwa na mama maria
Yule mama bado yupo vizuri kichwaniJiwe Leo kapasuliwa na mama maria
Leo kaishiwa na nguvu kabisa na hataisahau mara, na hizo ni salaam kuwa sasa awache kutumia jina lq baba wa taifajiwe aka KOMWE
hana jipyaLeo kaishiwa na nguvu kabisa na hataisahau mara, na hizo ni salaam kuwa sasa awache kutumia jina lq baba wa taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Point less“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara
Safi sanaMama maria Nyerere kapasua jipu
Swissme
“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara
Mshipa wa aibu haupo.