2011
Watakuja watu watakwambia nayo ilikuwa kisiasa.Haya mambo ya mabondeni kumbe siyo mambo mapya kabisa yalianza tangia karne ya kwanza.
Kuna bwana mm1 alijulikana kama mtume, nabii, masiha aliyeishi ktk kalne ya kwanza na likuwa akiitwa Yesu Mtoto anayetokea ktk kijiji cha Nazareti aliwai kusema
"Mtu mpumbavu alijenga nyuma yake bondeni na mvua zilipokuja zikaizoa nyumba yake navitu vyote watoto na mkewe vikaenda na maji lakini mtu mjanja yeye alijenga nyumba yake juu ya mwammba nvua zilipo kuja hazikuweza kuisomba nyumba kwani ilijengwa juu ya mwamba"
Samaani ni maneno ya Yesu mtume na nabiii Mimi narudia tu kusema ni wapumbavu. 7:24 matayo.