Watu wa kataa ndoa hii tunaiitaje!?

Mungu anasikitika na kushangaa sana anapoona mwanaume analia na kuteseka kisa mwanamke mmoja wakati kashaumba wengi ni wewe kuchagua tu.

Wanaume acheni upuuzi wa kulialia kisa wanawake, simamieni misingi ya uanaume wenu
Kulia tutalia tu, haina ubishi.

Wanaume wanalazimishwa kukandamiza hisia, kitu ambacho hakiwezekani na kina hasara kuliko faida.
 
Mungu anasikitika na kushangaa sana anapoona mwanaume analia na kuteseka kisa mwanamke mmoja wakati kashaumba wengi ni wewe kuchagua tu.

Wanaume acheni upuuzi wa kulialia kisa wanawake, simamieni misingi ya uanaume wenu
Hii ndio mara ya kwanza naona umeandika comment ndefu, siku za kawaida case kama hii ungempa ile "Pole mkuu" alaf unapita hivi
 
Kuna namna mtu akiwa hakutaki hata uandishi wake au maongezi yanaonyesha.

Tatizo siyo mwanamke tatizo ni mwanaume hapo.

Tafuta mwanamke anayekupenda wewe kuliko wewe unavyompenda uache kujieleza sana hivyo.
 
Mungu anasikitika na kushangaa sana anapoona mwanaume analia na kuteseka kisa mwanamke mmoja wakati kashaumba wengi ni wewe kuchagua tu.

Wanaume acheni upuuzi wa kulialia kisa wanawake, simamieni misingi ya uanaume wenu
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…