Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 624
Wewe ulimualika nani au unasubiri kualikwa tu?Siamini mpaka sasa sijapata mualiko hapa mjini, bora ningekuwa kwetu ningeshaalikwa nyumba kadhaa au kuletewa msosi mpaka ghetto, lakini huku kwenu ni balaa, nimefikia kwa jamaa yangu na yeye alipata dharura akasafiri kikazi, akaniacha peke yangu nikategemea labda majirani watanijali lakini waaaaapi, mpaka sasa ngoma drooo, patupu bora kesho nirudi kwetu kolomije, nilikuja kutibiwa nishaponaa.
Mkuu me ni mgeni, na nipo peke yangu ghetto nimualike naniWewe ulimualika nani au unasubiri kualikwa tu?
Mgeni wa nani?Mkuu me ni mgeni, na nipo peke yangu ghetto nimualike nani
Harufu ya pilau ilitoka wapi sasa mkuuWatu wa dar leo wamepika ugali dagaa mchele na kachumbali ina ndimu nyingi lazima wagome kukualika
Hapa kitaa kwa jamaa yanguMgeni wa nani?
Ndo nani huyo na kipi kilimpata mkuuUmesikia kilichompata kitomai? Na wewe unataka?
Nimekoma kabisa mkuu, nishazoea kwetu mkoa hakuna uchoyo kama huu, yaani hata kijisahani cha uongo na ukweliYaani Nimecheka Kimsingi Dar Kama Huna Ramani Usiende Kabisa Huko Hata Ndugu Yako Akitoka Mkoani Ila Akifika Huko Akili Zote Zinabebwa Na Wazaramo
Sijaendekeza njaa mkuu, ukarimu muhimu mbona watu wa dar wakija mkoa huwa tunawapa kipaumbele sana, hata misibani mnaanza kula nyinyi kwanza, maji ya uhai wakati si tunakunywa ya kisimaUsiendekeze njaa mjini, mjini ni kama jela tu, unaweza pewa msosi ukala, ukalala ukalaliwa
HapanaUlikuja na mchele ulivotoka bush?
Roho mbaya tu, kwani mimi kama ndugu yake hamuwezi kunikirimu?
Sawa mkuu, nishakata ticket keshokutwa safariPole mkuu, maisha yetu ya Dar njiani mapedeshee na walimbwende, home misosi issue, njoo baada ya miaka 3 au 4, labda jiji litakuwa linateleza kwa grisi...