lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 166
Ninacho sema msaidie mtu akiwa kwao au kijijini kwani ni lazima ukae nae ndo umsaidi!!!
Mi namtimua on the sport!, watu kama hawa wapo wengi sana na warudisha maendeleo ya watu
Sijakuelewa mkuuUnalaana ya ukoo unaitaji maombi .kurekebisha hilo.inawezekana wewe ni aina ya Kikwete kwenye ukoo wenu.so check and change for better of your family as head and the way of your family breakthrough.
Umeshawahi kukaa na mtu ambaye anakutegemea kwa kila kitu hasa ndugu au watoto wa ndugu zako, yaaani we unampa sapoti katika kila kitu na anaelewa shida unazopitia, lakini ikitokea siku unashida au unanjaa yaani hapo home umekwama na unajua kabisa jamaa yuko vizuri na anaweza kukusapoti kwa siku hiyo au akakuazima japo hela kidogo ili MLE WOTE hapo hapo nyumbani LAKINI jamaa anakuwa tayari hata mlale njaa au udhalilike yaani hayuko tayari kuchangia au kutoa chochote. Hawa watu sijui huwa wanawaza nini, mtu unamsapoti kwa kila kitu lakini ikitokea siku umekwama hayuko tayari kuchangia hata buku mbili ya Unga, na anaweza kwenda kwao(kama mnakaa mjini yeye akaenda kuwaona wazazi kijijini) na asirudi hata na kadebe ka mahindi au mpunga na unajua kwao wanavyo hivyo vitu! UBINADAMU KAZI WAKUU
"If you are helping someone and expecting something in return,you are doing business,not kindness".Umeshawahi kukaa na mtu ambaye anakutegemea kwa kila kitu hasa ndugu au watoto wa ndugu zako, yaaani we unampa sapoti katika kila kitu na anaelewa shida unazopitia, lakini ikitokea siku unashida au unanjaa yaani hapo home umekwama na unajua kabisa jamaa yuko vizuri na anaweza kukusapoti kwa siku hiyo au akakuazima japo hela kidogo ili MLE WOTE hapo hapo nyumbani LAKINI jamaa anakuwa tayari hata mlale njaa au udhalilike yaani hayuko tayari kuchangia au kutoa chochote. Hawa watu sijui huwa wanawaza nini, mtu unamsapoti kwa kila kitu lakini ikitokea siku umekwama hayuko tayari kuchangia hata buku mbili ya Unga, na anaweza kwenda kwao(kama mnakaa mjini yeye akaenda kuwaona wazazi kijijini) na asirudi hata na kadebe ka mahindi au mpunga na unajua kwao wanavyo hivyo vitu! UBINADAMU KAZI WAKUU
Sitaki anilipe wala simsaidii ili anilipe ila kuna muda naweza kwama so naazima hela kwake ili tutumie wote hapa nyumbani nikipata ntamrudishia lakini hatoi hata kiduchu wakati najua anazo"If you are helping someone and expecting something in return,you are doing business,not kindness".
Tenda wema nenda zako mkuu,na pia kama mtu unaishi nae na anakukera huna haja ya kufa na tai shingoni,mpe makavu ili ajirekebishe ili uwe na amani,vinginevyo unajitesa mwenyewe naye unakuwa hujamsaidia kujirekebisha,na akikuchanganya usisite kumuonesha "exit".
Usimfiche,mkalishe chini umueleweshe,dawa ya jipu ni kulitumbua tu.Sitaki anilipe wala simsaidii ili anilipe ila kuna muda naweza kwama so naazima hela kwake ili tutumie wote hapa nyumbani nikipata ntamrudishia lakini hatoi hata kiduchu wakati najua anazo
Ntajitahidi mkuu japo yataka moyo kulielekeza jitu zima na akili zakeUsimfiche,mkalishe chini umueleweshe,dawa ya jipu ni kulitumbua tu.