Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,264
- 11,523
Mbali wapi huko ukute umezaliwa miaka 90 unapaita mbali kingine unachosahau kila binadam ana historia yake ya maisha aliyopitia na bado anapitia mjanja kupata kuwahi ni kiherehere chako tu
Piga picha Mkuu, tunza kumbukumbu zako kwa bidii..... Na usiogope kesho yako aiseeee......Ndo maana sipigagi picha,najiepusha na hizi kumbukumbu!
Ohoooo.........[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mh asee watu balaa mnajua kufukua
Mmmh! Kwa ufukunyuzi huu kesho yangu yaweza haribiwa na picha za sasa.Piga picha Mkuu, tunza kumbukumbu zako kwa bidii..... Na usiogope kesho yako aiseeee......
Kwani wewe ni mkamilifu sana...[emoji45] [emoji45]Mmmh! Kwa ufukunyuzi huu kesho yangu yaweza haribiwa na picha za sasa.