Hahaaaaa!! Nakojoaaaa yn hii bora mpelekee kule kwake insta mana huyu dada akiambiwa anajiedt anakataa
[emoji102] [emoji16] [emoji2] noma sana binadamu hatufai Yaan hata Bashite anashangaa hizo picha wanazitoa wapi maana zingine alisha sahau kabisawatu wanajua kufukua makaburi.
Duh, Mwigulu huyu!!. Huyo ng'ombe ndio alimchelewesha kwenda shule eti eah!!?View attachment 495387
Huyo[emoji115] wa iramba
View attachment 495388
Huyo[emoji115] wa chato
View attachment 495389
Huyo[emoji115] Ka[emoji338]
Kumbe unakumbuka eehhhh.....[emoji23]Duh, Mwigulu huyu!!. Huyo ng'ombe ndio alimchelewesha kwenda shule eti eah!!?