Watu tunapenda kukaa

Sasa ndio nini hiki...
Mbona heading na video hazina uwiano....
 
Walipashwa wawe wanapanga foleni kulingana na jinsi walivyokata ticket. Hapo ndipo watu tulipashwa kuanza kujifunza ustaarabu. Na dereva anatakiwa aseme basi limejaa anapoona hakuna nafasi ya kutosha kufungua mlango freely. Kwa nini tugombee gari? Ni ushamba na upuuzi
 
Hapo umenena mkuu..... mimi naona bora wafanye viti/siti zote ziwe n kwa wazee na watu wenye mahitaji maarumu...... kuwe hakuna kijana anayeruhusiwa kukaa wakati mzee amesimama sehemu yeyote kwenye gari
Hii itapunguza kugombania magari.... lani mtu anataka kukaa hata safari ya dk 20 tu
 
Back
Top Bottom