Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Watu saba wanahofiwa kufa maji katika Ziwa Tanganyika baada ya boti ya MV Ngendo Buchuma waliyokuwa wakisafiria ikiwa na tani 20 za mzigo kutoka Mjini Kigoma kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kutoonekana kwa Zaidi ya wiki moja sasa.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV