Watu na tamaduni zao!

Hapana umemchanganya na mtawala mmoja wa nchi ya africa
Sio Africa mkuu Ni hukohuko sijui Ni Barbados au Himalaya Wana ziba KANDAMIZIO kwa ala na wadada waziba kwa KANEPI KA KAMAJANI
 
Kuna swali halijajibiwa kwamba ili dushe ifit kwenye hiyo hala ni lazima iwe erect muda wote au?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimesoma mahali wanasema hio"Koteka"au penis guide inakuwa na kamba mbili moja IPO chini karibu na korodani na nyingine inashika koteka na kungushiwa kiunoni ndio maana inakuwa imesimama hata kwenye hizo picha ukiangalia kwa ukaribu utaona kauzi keusi kameshikilia 'Koteka' kutokea kiunoni.

Kwa maana hii sio lazima iwe imesima muda wote
 
Hawa jamaa Ni watu wa kabila gani,nchi gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikihamia mfano Mbeya nikajifanya ninapotokea utamaduni wetu ni kuvaa hivyo si nitapunguza gharama ya kununua mavazi?
 
Nikihamia mfano Mbeya nikajifanya ninapotokea utamaduni wetu ni kuvaa hivyo si nitapunguza gharama ya kununua mavazi?
,ukiweza sawa tu,maana shida ni kwamba hujazoea,so utapambana na fedheha na kupostiwa mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…