Watu na serekali

Watu na serekali

du hapa ukweli mtupu kabisa, yaani kale ka PAYE, kanatesa sana watumishi...
 
Mkuu unataka Serikali ikale wapi? Inabidi iwe hivyo ili barabara zijengwe, hospitali zifanye kazi, huduma za jamii ziwepo nk.

hapana bana wewee... nchi yetu ina raslimali nyingi sana isipokuwa serikali legelege imeshindwa kusimamia kodi na mapato badala yake inawabana watumishi wake na kuwafanya 'manamba'!
 
ha ha ha....chach serekali itakuwa kapu lote au ni moja moja mkuu kama vile mwananchi anavyoweka moja moja.
 
Back
Top Bottom