Hivi bajeti yetu bado tunategemea wafadhili!?Na mchoraji Denis man Ovee
View attachment 1131194
Kwani huko si tumeambiwa wamejaa wapumbavu tu?huyu mchoraji ni zao LA lile shamba LA kijani, maana ujumbe uliomo ndani ni kupinga tena bila hoja na anaonyesha kua wapinzani hawana hoja juu ya hii bajeti kitu ambacho sio kweli, mbona kiuhalisia hatujaona!? tumeoana wakipinga kwa hoja mpaka akina zitto tumewasikia, huyu mchoraji ni boya [emoji33]