mmm siku hizi hata wanaume hawajui kutongoza wanaishia tu kumaliza hela zao, yaan wanafanya vitendo tu sound hawana na watoto wa kike wantongozeka kirahis sana asubuhi jion tayari kakubali na kashamvulia mh , na wanaume pia hawajui kusoma alama za nyakati, bint hapo ameshakunja mguu na anauma kidole sasa anasubiri nini? ombi lake tayari limekubaliwa