Watu na appetite zao..!!!

kunogesha mlo hapo bado hajachomoa ndizi mbivu, mbilimbi na kipande cha pilipili...
 
mmnnnhhh hayuko serious huyu anakula kwa kijiko, angekuwa peke yake ningetegemea aufinye huo
 
Hii kali wali kwenye bar maana naona viti vya kujidai dah ni sheedah.... Anigawie hiyo apetaiti maana yangu iko chalinze mpaja ifike dar ni hatari vijiko viwili kwisha habari yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…