😀😀😀😀Hawa angalau inaonekana wameagiza chakula hiki hotelini. Kama ni pesa yao halali wameihenyea sina tatizo nao. Yule mama yuko kwenye function na anajua kuna wenzake nyuma waja still kaamua kujisiliba.
Hahahha na miwani wamevaa kabisa yaaniHuyo mama yuko vizuri kwenye kufukia,wapenda kula wenzake wengine hawa[emoji116]
Uwe na adabuHapo marangu
Zambia hii au zimbabwe
Unataaamani kuwa mchaga eti wachaga wallafi labda walafi wa pesa sio chakula sie ugali ni chakula cha hamu, dagaa kuna wengine vijijini hata hawajawahi kula muhogo ndio kabisaaa sumu kwao uroho unatokea wapi watu tushazoea ndizi moja nyama moja, pilao, kuku noah ndio usipime karibu Christmas uje upate vitu wachaga kadi uchoyo miguu yako tu na tumboWachagga ni waroho/walafi wa chakula ajabu! Ona huyo mama hadi wenzie wanashangaa.
Huyo mama yuko vizuri kwenye kufukia,wapenda kula wenzake wengine hawa[emoji116]
Jamani naona kama kamguu ka kuku!... Du huyu mama nouma!...
Khaaaaaa!! Huyu dada ana appetite kama my girl NifahHuyo mama yuko vizuri kwenye kufukia,wapenda kula wenzake wengine hawa[emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umefanya vizuri kummention ili apite kuona ndugu zake!Khaaaaaa!! Huyu dada ana appetite kama my girl Nifah
[emoji85] [emoji4] sorrrrrryy! Nilivyoona appetite za hao wadada nikakukumbuka wewe [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio nini kunianika hivi jamani?
Ni kweli thou...[emoji6]
It's a good thing kunikumbuka namna hii.[emoji85] [emoji4] sorrrrrryy! Nilivyoona appetite za hao wadada nikakukumbuka wewe [emoji23]
Asante, natamani kumuoa mchaggaUnataaamani kuwa mchaga eti wachaga wallafi labda walafi wa pesa sio chakula sie ugali ni chakula cha hamu, dagaa kuna wengine vijijini hata hawajawahi kula muhogo ndio kabisaaa sumu kwao uroho unatokea wapi watu tushazoea ndizi moja nyama moja, pilao, kuku noah ndio usipime karibu Christmas uje upate vitu wachaga kadi uchoyo miguu yako tu na tumbo