Watu mliooa mnakera sana kwenye Vikao vya Baa

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
6,779
2,000
Tena wale ambao ni new wedds in town.

Huyu jamaa yetu anafanya kazi taasisi flan hivi ya serikal..mishahara yetu tunaijua chief...sasa jamaa kabla hajaoa alikuwa anaendesha gari flani, kaoa now ni kama miaka miwil kabadili gari kachkua kitu cha 28m.

Basi imekuwa kero, muda wote yeye ni kuongelea mambo yake na mkewe na kuturingishia sisi wengine..yaani mwana anaongea sanaaa..sisi tunamshangaa...halaf mwongo mwongo

Mimi ikabid nimchane kwamba sasa mwamba unaongea nini wakati vyanzo vyako vya mapato tunavijua halafu pia umeunganisha nguvu na shemeji ..usijifananishe na sisi one man army ambao kitambo unachofanya wewe now sisi tushafanya miaka mitatu nyuma..

Hakunielewa, akawa anaboa ila ndo hvyo tukamvumilia sababu tunamjua

Ila kiukweli watu mliooa mna mbwembwe, yaani mnaona sisi wengne tunakosea maisha

Uzi tayar
(Usinijudge tafadhal)
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
6,779
2,000
Mkuu...Wivu umekukaa rohoni...Looh
Wewe endelea kukimbizana na pisi kali ..waache waliopata nusra wafurahie..

Mbona wewe huwa unahadithia pisi zako unazochakata...KILA siku humu..

.acha kijiba Cha roho..utakufa nacho. Ptuu
Ushasema humu.sio baa..baa tupo kuongea ishu za kiume..yeye analeta mambo ya nyumban kwake na nkewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom