Watu mliooa mnakera sana kwenye Vikao vya Baa

Sasa story zako na MTU mmoja umesha generalize kwa wanandoa wote......
 
kupenda sifa ni nature ya binadam hata usimshangae, bora hata huyo anavimba akiwa na cha kujivunia wengine hua wanajimwambafai akati hana mbele wala nyuma
 
Mbona sasa hata wewe unaleta habari za mshikaji wako JF...!!
 
Ushasema humu.sio baa..baa tupo kuongea ishu za kiume..yeye analeta mambo ya nyumban kwake na nkewe
Mkuu...unataka mpaka kupangia Watu waseme Nini...kwa wakati gani ili usikwazike..

Mkuu huwezi acha Jambo likapita..

Basi Wewe kereka TU....
 
vijana wanao oa mapema vituko sana .. miezi ya mwanzoni atajifanya yuko bize sana na familia ila baada ya miezi kadhaa wakichokana utamuona anakufosi mpaka saa 7 za usiku mkeshe wote bar ..
 
Mkuu...Wivu umekukaa rohoni...Looh
Wewe endelea kukimbizana na pisi kali ..waache waliopata nusra wafurahie..

Mbona wewe huwa unahadithia pisi zako unazochakata...KILA siku humu..

.acha kijiba Cha roho..utakufa nacho. Ptuu
Mate yamenirukia,nmeyameza.
 
Mwanaume huwezi kusema una akili kabla hujaoa,kwahyo nawewe tushindwa kupima uelewa wako!
 
Tena wale ambao ni new wedds in town.

Huyu jamaa yetu anafanya kazi taasisi flan hivi ya serikal..mishahara yetu tunaijua chief...sasa jamaa kabla hajaoa alikuwa anaendesha gari flani, kaoa now ni kama miaka miwil kabadili gari kachkua kitu cha 28m.

Basi imekuwa kero, muda wote yeye ni kuongelea mambo yake na mkewe na kuturingishia sisi wengine..yaani mwana anaongea sanaaa..sisi tunamshangaa...halaf mwongo mwongo

Mimi ikabid nimchane kwamba sasa mwamba unaongea nini wakati vyanzo vyako vya mapato tunavijua halafu pia umeunganisha nguvu na shemeji ..usijifananishe na sisi one man army ambao kitambo unachofanya wewe now sisi tushafanya miaka mitatu nyuma..

Hakunielewa, akawa anaboa ila ndo hvyo tukamvumilia sababu tunamjua

Ila kiukweli watu mliooa mna mbwembwe, yaani mnaona sisi wengne tunakosea maisha

Uzi tayar
(Usinijudge tafadhal)
Kwetu kama hujaoa, ukifa vitani tunakutupa hukohuko. kama umeoa lazima tufikishe maiti hom
 
anawapigia kelele hajui kua wataachana alafu muanze kukwepana kama mnadaiana :D



NOTE:KUOA AU KUOLEWA NI TIKETI YA KUANZA KUJAMIIANA KISHERIA
 
Back
Top Bottom