gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
Hivi huba huwa unaielewaga?Keep waiting mkuu..ni moja ya thrilling series tamu sana from tz,subir bado sku chache.
Itachkua nafasi ya huba kwa rating
Kiukweli siielewi kabisaa.......
Mwanzoni nilipata hisia ni series kama ya isidingo......na ukweli walikopa baadhi ya vitu lkn nikaichukia siku nawona kibibi eti kamteka mtu kqwnye boti eti anaenda kufunga naye ndoa kwa lazima. Nikasema sijui waliokota wapi iko kipande.
Juzi ndo kabisaa wanafanya sherehe wamevaa mask hatukuona madhumuni ya ile sherehe na iliishaje yaan ujinga ujinga tu. Kwakweli uokiangalia Tessa na maid wake hawaonekani kufit kwenye nafasi za mtu na bosi wake. Ni Nani anayewatengenezea hivi vipande?
