Watu maarufu waliofariki mwaka 2024

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,517
Reaction score
3,390
Tujikumbushe watu maarufu wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo waliotutoka mwaka 2024
 
Hadija shaibu (Dida)
Amos Nnko
Fred kiluswa
Lawrence mafuru
John tendwa
 
Samahani lakini mwaka Bado haujaisha,,,tuzidi kuomba uzima
 
Wako wapi watu hawa
1: Askari alikuwa tunamwita "sharp" pale Dar miaka ya 80s
2: Ombaomba aliyewasumbua Dar jina maarufu "Matonya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…