Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
Hebu tufikirie tena mzozo wa Zanzibar.
Kule kuna watu takriban milioni moja na nusu hivi.
Na watu wasioweza kuelewana wao kwa wao ni karibia laki sita, nusu wakiwa CUF na nusu wakiwa CCM-Visiwani.
Temeke tu ina watu wengi Zaidi ya watu hawa wanotaka kuiyumbisha nchi.
Waanze kuchukuliwa hatua, tena haraka sana.
Nchi hii ni yetu wavuja jasho, na si ya wahisani.
Kinachonikera sana tena sana ni kuupa kipaumbele mzozo huo.
Watu wanajinasibu kuwa ni Watanzania lakini wanaenda kuomba kukatwa misaada ya maendeleo kwa nchi.
Waaoumia ni watu wa Sumbawanga, Tandahimba, Kamachumu na hata Kilindi.
Watu ambao hawahusiki na mzozo wa Zanzibar wala hawana mchango wowote kwa mzozo huo.
Enough is enough, ujinga huu lazima udhibitiwe.
Wanaousaliti Muungano kwa faidayao binafsi waadhibiwe kama inavyostahili.
Usaliti ni pamaoja na kuwaumiza Watanzania wasio na hatia, watu wanakosa kazi, na tunaambiwa msaada wa Trilioni 1.5 wa Millenium Challenge umesitishwa sababu ya watu ama kina Maalim Seif.
Halafu tunakatwa kodi ili kuisaupport serikali na maendeleo ya Zanzibar.
Magufuli sasa inabidi meno yake yaanze kuuma hata kwa hawa wasaliti.
Tuicheka na nyani tutakula mabua!!