watu kutojua maana ya kitu.

M.A

Member
Nov 20, 2013
34
6
Watu wengi wanaoishi mikoa ambayo gari moshi (maarufu kama treni) linapita hasa mikoa ya reli ya kati kuelekea kigoma hutuboa saaana.... mara linapokuja utawasikia wakisema abiria hiyo inakuja... Je treni hiyo ikikosa abiria wataiitaje? Jaman tuelewe kuwa abiria ni wasafiri.
 
Watu upenda kufupisha maneno ingawa mara nyngne upoteza maana kama sio mwenyeji wa hapo. Hivyo kwa washairi watalielewa.
 
kwan imekukela nn mbona ikn poa kama wanaelewana,sifa moja wapo ya lugha nikukidhi matakwa ya watumiaj wake
 
Back
Top Bottom