Nimeangalia hiyo video sijaelewa uhusiano wa huyo jamaa kuwa polisi
Watu kama huyu serikali inabidi iwaangalie iwaajiri polisi au jeshi
Watu kama huyu serikali inabidi iwaangalie iwaajiri polisi au jeshi
Waliozunguka hapo, huyo driver na huyo jamaa anayetangaza, brain zao ziko kwenye level inayokaribiana sana. Akitokea mwenye level ya juu tofauti na wao, wataona kama wanaonewa kwa sababu uwezo wao wa kufikiri umegota. They can't think beyond if there is something like accident which may come their way and turn this funny game into sorrow.Mimi nwashangaa hao waliomzunguka hawaoni hatari kubwa iliopo mbele yao pale Jamaa atakaposhindwa idhibiti gari