Watu kadhaa wanashikiliwa mateka Sydney

Watu kadhaa wanashikiliwa mateka Sydney

Unfortunately two hostages have died, after the rescue attempt....sad!
 
tazama KDF walivyo jazana eneo moja.hata mimi amabye sikupitia mafunzo ya kujihami ya kijeshi, naona jamaa hawakuwa makini.hii ilikuwa ni wakati ule wa tukio la uvamizi,westgate mall.
AP_kenya_mall_ds_130920_16x9_992.jpg



wakenya wako njema jamani... ndio maana wapo somalia... watanzania somalia tunaogopa
 
140317052649_tony_abbot_304x171_afp_nocredit.jpg

Tony Abbot waziri mkuu wa Australia

Waziri mkuu wa Australia Tony Abbott amesema mtu mwenye bunduki aliyehusika na utekaji nyara watu katika mkahawa mmoja jijini Sydney alikuwa akijulikana kwa vyombo vya serikali na alikuwa na historia ndefu ya uhalifu, akiwa amegubikwa na itikadi kali za kidini na kuwa na hitilafu ya akili.

Watu wawili waliuawa, pamoja na Mwislam aliyejihami kwa bunduki baada ya makomandoo kuvamia mkahawa huo uliopo eneo la kibishara jijini Sydeney, na kumaliza tukio la utekaji nyara lililodumu kwa saa kumi na sita.Watu wanne walijeruhiwa katika tukio hilo, ikiwa ni pamoja na askari polisi aliyepigwa na vipande vya risasi.

Mtu huyo mwenye silaha alitambuliwa kuwa mkimbizi kutoka Iran, aliwashiklia mateka watu kadha katika mkahawa wa Lindt.
141215233018_sydney_siege_victims_304x171_bbc_nocredit.jpg


Mwaathirika wa tukio la utekaji nyara Sydney, AustraliaMtu huyo aliyejihami kwa silaha alijulikana kwa jina la Man Haron Monis. Alipata hifadhi ya kisiasa nchini Australia mwaka 1996 na alikuwa nje kwa dhamana akikabiliwa na mashitaka kadha.

Eneo la katikati ya jiji la Sydney lilifungwa wakati mtu mwenye silaha alipowashikilia mateka watu mapema Jumatatu, akiwalazimisha baadhi yao kunyanyua juu dirishani bango jeusi la Kiislam katika mkahawa wa Lindt.

Mkahawa wa Lindt Chocolat Cafe uko katika mtaa wa Martin Place, eneo lenye pilika pilika nyingi za kibiashara mjini Sydney.

Waziri Mkuu Tony Abbott amesema "tukio la kutisha" katika mkahawa kulikuwa na "hali ya kutisha kuzidi maelezo" na kulikuwa na "kitu cha kujifunza" kutoka tukio hili la kigaidi".

"matukio haya yanaonyesha kuwa hata kwa nchi yenye uhuru, yenye uwazi na ukarimu kama nchi yetu, bado inakabiliwa na vitendo vya ghasia zenye msukumo wa kisiasa lakini pia yanaonyesha kuwa tuko tayari kukabiliana nayo," aliwaambia waandishi wa habari.
141215233620_lindt_cafe_sydney_304x171_bbc_nocredit.jpg


Eneo ulipo mkahawa Lindt katikati ya jiji la Sydney, AustraliaBendera zitapepea nusu mlingoti katika eneo lote la New South Wales kuwaenzi waathirika wa tukio hilo la utekaji nyara.

Mwanaume mwenye umri wa miaka 34 na mwanamke mwenye umri wa miaka 38 walithibitika kufa baada ya kupelekwa hospitali, kama ilivyokuwa kwa mtu mwenye silaha limesema jeshi la polisi katika taarifa yake kutoka eneo la New South Wales.

Wanawake wawili walipata majeraha yasiyotishia uhai kama ilivyokuwa kwa polisi ambaye alipigwa usoni na vipande vya risasi.

Mwanamke mwingine alipata majeraha kwa kupigwa risasi katika bega lake.



Chanzo:BBC
 
Hao mateka kisu kinawasubiri kipite kwenye shingo zao.
 
Hawa wavaaji vilemba duniani inabidi wanyongwe tu na kuchomwa moto ili kupoteza kumbukumbu yao hapa duniani.
 
Unawakumbusha Wakenya kilio na aibu kubwa iliyowapata? Majeshi yao yote, wameshindwa na watu wanne, na wakaondoka hawajaonekana mpaka leo.

Wakenya hata elites wao, wawekee chocolate tu, kwisha kazi. Wasomali, wamewapatia kweli.

Majanga.

Wale ni Wasomali, hawana mchezo.

FaizaFoxy Cha msingi ifahamike huyu hapa alikua ni sheikh ambaye hakuwa na ujuzi wowote wa vita. Na iliwachukua makomando wa Australia siku nzima na hatimaye palikufa watu. Yeye aliteka tu, ila wale wa westgate wenye ujuzi wa vita waliingia na kuanza kuua yeyote ambaye hakujua mambo ya msingi ya hiyo dini yenu iliyojaa uchafu, maovu, damu na chuki.

Hapakua na muda wa ku-plan maana hawakua wanaagiza bendera ya allah kama huyu, yao ilikua ni kumpa mungu wenu damu.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy Cha msingi ifahamike huyu hapa alikua ni sheikh ambaye hakuwa na ujuzi wowote wa vita. Na iliwachukua makomando wa Australia siku nzima na hatimaye palikufa watu. Yeye aliteka tu, ila wale wa westgate wenye ujuzi wa vita waliingia na kuanza kuua yeyote ambaye hakujua mambo ya msingi ya hiyo dini yenu iliyojaa uchafu, maovu, damu na chuki.

Hapakua na muda wa ku-plan maana hawakua wanaagiza bendera ya allah kama huyu, yao ilikua ni kumpa mungu wenu damu.

Mliipatapata, mtu nne tu.
 
Hao sio magaidi bali ni wavuta bangi tu wa mitaani......gaidi hawana historia ya kuwaacha mateka wakiwa hai.....
 
Unawakumbusha Wakenya kilio na aibu kubwa iliyowapata? Majeshi yao yote, wameshindwa na watu wanne, na wakaondoka hawajaonekana mpaka leo.

Wakenya hata elites wao, wawekee chocolate tu, kwisha kazi. Wasomali, wamewapatia kweli.

Majanga.
shida ni ile ile wanakimbia Somalia , iran, Libya , hawaendi saudia kwenye ardhi ya "mtume" wanakimbilia Australia, Sweden , America , italia , Kenya etc. halafu wakifanya fujo kwa fadhila za wakristo, washabiki wao wanafanya ulinganisho. jamani watu hao wapelekwe Kuwait, Dubai, sudia etc, 'kwenye neema" ya mtume
Wale ni Wasomali, hawana mchezo
 
Mliipatapata, mtu nne tu.
next time hawa "masheikh" wasiende nchi za wakristo, waende Saudi Arabia, mbona hamuulizii? mmesikia wapi mkristo akakimbia nchi yake kwenda misri, au saudia, Iraq etc. The theme na mawazo ya watu yanayotembea marekani ninakotoka juzi , ni kama unataka kuimigrate marekani, lazima uende na values ya nchi unayokimbilia, plus dini, usiende Australia, halafu unataka kuimpose your devilish ideology na beliefs, muda umefika kwa kuaanza kutenganishwa kwa mawazo (wao na sisi) na kama hawataki basi waende saudia, Indonesia, Iraq na ardhi zote za "mtume", unfortunately unafiki una take over na wote wanakimbilia western countries or better Christian valued countries bila kunyoa ndevu zao
 
teh teh teh..
thubutu Australian troops practised exact cafe scenario less than 5 weeks ago.!!

Are you sure Mkuu? If thats the case, Im beggining to understand why some people think its a false flag though I still can't understand for who's interests?
Can you provide your source Niifuatilie Mkuu?
 
.....yaani you literally
compared KDF with Australian's commanders?!, kweli akutukanae
hakuchagulii tusi .....lol!

Jamani, hivi haya mambo yana ubingwa? Nachoelewa ni kuwa operation hizi hufaulu kwa kuandaa strategy madhubuti kutokana na kumsoma adui yako katika identity yake, strength, weaknesses, kuwa na askari wenye nidhamu waliofuzu na wenye kumudu jukumu, Silaha sahihi na mengine ni adaptation skills kutokana na tukio. Kwa tukio la Westgate ugumu ulitokana na maghaidi kujichanganya na mateka, hakuna serikali inayoweza kurisk maisha ya raia wake kwa kuvamia au kuwadungua maghaidi isiyojua idadi yake na wasiotabirika kuwa watafanya nini endapo utawaprovoke katika mazingira hayo.
 
wakenya wako njema jamani... ndio maana wapo somalia... watanzania somalia tunaogopa

Mkuu ishia hapohapo, Jeshi la Tanzania sio Maactor wa holywood lakini amini nguvu yetu inaheshimika Duniani kote.
 
Mtu nne anayepigania allah na zawadi ya mabikira 72 lazima atakua mgumu wa kupiga.

Hizo porojo, mngewashika, mnatuaminisha uongo?

Hero wa west gate huyu unamkumbuka?:



Abdul Haji The Hero of west gate.
 
niko karibu na eneo la tukio mkuu, task forces walikua wakifanya mazoezi ya mission ktk military base ya victoria barracks ambayo ndio headquarters of forces command. Wakazi wanaozunguka military base hii hatujashangaa kuona yanayotokea Lindt cafe. Kijiografia na kiulinzi ni ngumu lindt cafe kuvamiwa kwani the cafe is right at the base of the reserve bank of Australia but global media hawajagusia hii kitu. Tony Abbott hoax to pass terror laws to make you believe that there's terrorism in UAS and the length they go to fool AUS citizens.
Tizama huu uongo wao..!!
B49av39CUAMCslZ.jpg

Basi ni hatari, lakini ni kawaida katika maswala kama haya.
 
Allah's Apostle said that:I have been made victorious with terror.(Hadith 4:52:220),kwa hyo ujinga wote hawa wendawazmu wanaofanya wanafanya makusudi kwa sababu kuna maagizo ya kufanya wanacho kifanya,sasa kuna wahuni wanawatetea,hivi inakuaje upewe fursa ya kuishi nchi ya watu harafu unaanza kuwaua,ndio maana nasema kuna jini kwenye vchwa vyao na watu wanashdwa kukubali ukweli kuwa ugaidi hauwez ukaisha bila kupigana na mzizi wa tatizo ambao upo kwenye maandiko
 
Back
Top Bottom