watu hupenda hii kitu aisee!!!!!!

Hiyari hushinda utumwa aisee. Hawa wangelazimishwa wangelalamika sana. lakini hapo wako poa tu kwa sababu wamependa wenyewe
 
na hapo itawachukua muda hadi kupoteza uelewa!
 
Kijiwe kikikwa poa hata kiwe wapi twaenda!
 
Kama ni kwetu wengine wakiondoka usafiri ni wa bure.
 
Ila hawa jamaa wanafaidi aisee,halafu uchukulie kuwa hujainywa hiyo kitu kama wiki mbili halafu ndo umegongana nazo kwenye kona kama hii,walah wacha viatu vioze na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…