Revenge is in God's hands ... Not yours.Kwa sisi tuliodhurumiwa mamilioni ya pesa ni ngumu hadithi hii kuielewa, mimi i can wait for proper revenge hata miaka 20.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] usimtukane na kumdhihaki EL.... Usiwe mtu wa kazini, usiwe mchawi, usiwe mlevi, usiwe mwizi, usiwe msengenyaji, usitukane watu Hapa JF,usitongoze watu hapa JF kwa lengo la uzinzi, usiwe mwongo, usiwe......... .....
Bwana mshana jr kuna uzi umeandika kuwa kifo ni hatua ya kuingia maisha mengine bora, sasa mbona unachanganya hapa tena mauza uza haya?Niandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu
Kitu cha kushangaza kutoka wale walionusurika kifo ni simulizi zao za yale waliyoyaona au kukutana nayo pale roho zilipokuwa katikati ya kuzimu na dunia
Lakini pia habari nyingine zinasema kuwa watu wanapokuwa katika kipindi hicho,wengi
- huona maisha yao yakipita mbele ya macho yao kama sinema
-wengine mabaya yao hujifunua na kuyasimulia bila kujua
-wengine huomba msamaha
-wengine huomba msaada
-wengine hujiona wakienda mbali sana
Wengine huona moto, malaika au viumbe wa ajabu
Kwa ujumla wake hali hii huelezewa kama hari za kifo...ni kipindi kigumu mno kwa wale wanaokutana na hizi mambo
Lakini kuna wengine hufa wakiwa usingizini kwa amani kabisa wala bila kujitambua kuwa wamekufa , hawa nyuso zao huonekana zimetulia kabisa ni kama wamelala.....!!! Kitu cha ajabu ni wale wafao huku hari za kifo zikiwaandama nyuso hukunjamana na kubaki na maumivu hata baada ya roho kuachana na mwili
Usiwe mtu wa vinyongo Usiwe mtu wa dhuluma Usiwe mtu wa visasi Usiwe mtu wa rohombaya, vitu hivi huzalisha roho zitakazokutesa mpaka kifo....kama una vyongo umezihifadhi tumboni jitahidi kuzitapika usiku huu..ya kesho huyajui
Ni kweli unaitwa sanaa ya kifo..ule ni baada ya kujiandaa kwa mtihani wa kifo na baadae kuingia huko kifoniBwana mshana jr kuna uzi umeandika kuwa kifo ni hatua ya kuingia maisha mengine bora, sasa mbona unachanganya hapa tena mauza uza haya?
Hawa God's wapo wangapi? by the way don't believe everything u read.Revenge is in God's hands ... Not yours.
Bwana mshana jr kuna uzi umeandika kuwa kifo ni hatua ya kuingia maisha mengine bora, sasa mbona unachanganya hapa tena mauza uza haya?
Si kweli...[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] usimtukane na kumdhihaki EL
Je ulishawahi kufa?Ni kweli unaitwa sanaa ya kifo..ule ni baada ya kujiandaa kwa mtihani wa kifo na baadae kuingia huko kifoni
Hapa ni zile sekunde au dakika za mwisho between life n death or near to death experience
Kwa muktadha wa post ile yaani kile kimuhe muhe cha mtihani wa kifo
Tofautisha kati ya God's na Gods'.Hawa God's wapo wangapi? by the way don't believe everything u read.
Niandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu