Watu hawa wawili mnawachukuliaje

Watu hawa wawili mnawachukuliaje

Haujawahi kushikwa na nyege wewe..... kwenye mapenzi ni aidha ule au uliwe kama wote mnapendana sawa kuna tatizo Mahali....

Lazima pawepo na mmoja ambaye hamake-sense...na huyu ndiye huyashikilia mahusiano yasianguke.
Ukweli mtupu hamna mapenzi yaliyo balance au tuseme yako level..lazima mzani uegemee upande mmoja
 
Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu

Huyu mimi namuona mwanamke ambeye hajiamini na muoga wamaisha

mwanaume ambaye anahonga mwanamke uku akijua kabisa kuwa hapendwi na mwanamke kashamfanyia vitimbwi vya kuhudhu lakini bado kamganda ataki kumuachia kiasi kwamba mwanaume ana sahau familia yake au majukumu yake kisa mwanamke

Huyu mimi namuona ni mwanaume mgeni katika mapenzi bado ajakomaa
Kwaiyo wote hawatakiwi au vp👍
 
Kwa Sasa Kuna kamstari kembamba kanakotenganisha ukahaba na ndoa!kembamba sana!unakuta hasta kwenye ndoa watu tunanunua Kwa madela,kikoba,mtaji was biashara n.k!
 
Kwa Sasa Kuna kamstari kembamba kanakotenganisha ukahaba na ndoa!kembamba sana!unakuta hasta kwenye ndoa watu tunanunua Kwa madela,kikoba,mtaji was biashara n.k!
Ahaha wanandoa mnapigika sana
 
Ahahah si dalili zinaonesha
Brooo wanawake ni wasanii sana usiwaamini hawa kenge. Wanakuzalia na kuishi na wewe miaka 20 full maigizo alafu baadae unasikia i no loger love u. Kuwa makini bro.

Wee unamuamini vipi kenge anayesema mwanaume ni kuhudumia lakini mabilionea wanaachwa. Think twice
 
Au sio 😂 na english juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom