Watu hawa wawili mnawachukuliaje

Watu hawa wawili mnawachukuliaje

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,586
Reaction score
66,282
Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu

Huyu mimi namuona mwanamke ambeye hajiamini na muoga wamaisha

mwanaume ambaye anahonga mwanamke uku akijua kabisa kuwa hapendwi na mwanamke kashamfanyia vitimbwi vya kuhudhu lakini bado kamganda ataki kumuachia kiasi kwamba mwanaume ana sahau familia yake au majukumu yake kisa mwanamke

Huyu mimi namuona ni mwanaume mgeni katika mapenzi bado ajakomaa
 
Haujawahi kushikwa na nyege wewe..... kwenye mapenzi ni aidha ule au uliwe kama wote mnapendana sawa kuna tatizo Mahali....

Lazima pawepo na mmoja ambaye hamake-sense...na huyu ndiye huyashikilia mahusiano yasianguke.
hapo kwenye mahusiano yasioanguke kuna husiano moja hilo lilikuwa lamoto kwenye kulishika likaniunguza nikaungua nikaliachia!,nilitoka nikiwa nimebabuka kama kuku kwaajili yakumtolea manyoya..😂
 
Ulikula kula lakini? Au ulikuwa unaonyeshwa mikunjo ya chupi tu?
 
Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu

Huyu mimi namuona mwanamke ambeye hajiamini na muoga wamaisha

mwanaume ambaye anahonga mwanamke uku akijua kabisa kuwa hapendwi na mwanamke kashamfanyia vitimbwi vya kuhudhu lakini bado kamganda ataki kumuachia kiasi kwamba mwanaume ana sahau familia yake au majukumu yake kisa mwanamke

Huyu mimi namuona ni mwanaume mgeni katika mapenzi bado ajakomaa
Samahani Mwanangu weww Ni Jinsia Gani?
Maana Umeeleza Mtu mmoja Kwa Jinsia Mbili tofauti
 
hapo kwenye mahusiano yasioanguke kuna husiano moja hilo lilikuwa lamoto kwenye kulishika likaniunguza nikaungua nikaliachia!,nilitoka nikiwa nimebabuka kama kuku kwaajili yakumtolea manyoya..😂
Ahahah ulipigwa na nyundo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom