Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kumbe hii id ni ya mwanamuke!!!! 😀wanawake tuna roho ngumu sana.
Sijui tu.. vipi lakini mzima..?khaaaa🙄🙄🙄
why mkuu?
Huyo ni mkeo kisheria na anahaki zote Kama mke.
wanawake tuna roho ngumu sana.
Nasikia ukifungia mama miezi mitatu ikapita ni wako tu
AlhamdulillahSijui tu.. vipi lakini mzima..?
Aaah kabisa mkuu, kauli mbiu "Akili kwanza"Jumba bovu linakuangukia ndani ya miezi mitatu [emoji1544][emoji851]
Kufunga ndoa kanisani, msikitini ama bomani ni sehem ya wajibu tu. Pia cheti ni utambulisho/cheti ni utambuzi kwamba umefunga ndoa.Kwahiyo cheti hakina umuhimu wowote mkuu?
Tengeneza mapema na ukweni kwako,siku huyo mwanamke akitangulia mbele ya haki ndugu hutajui hujuiNazungumzia sisi wajuba ambao tunaishi na wanawake kwao hatujulikani wala hatujatoa hata kumi na bado tunaishi na wanawake hao mwaka ama mwaka miwili ama mitatu na watoto wametuzalia,Je? tuwaite ni wake zetu ama mademu zetu ama tuwaite mama watoto wetu?
Kwenu studio [emoji851]
Aaah kabisa mkuu, kauli mbiu "Akili kwanza"
Tengeneza mapema na ukweni kwako,siku huyo mwanamke akitangulia mbele ya haki ndugu hutajui hujui
Kabla hujachoka ndio Mungu anaamua kuumchukua nakwambia utajutaKutengeneza nini mkuu?,si tulishakubaliana ni kuchakata tu papuchi ukichoka ni mwendo wa kutafuta tu visababu na kubwaga manyanga
Kufunga ndoa kanisani, msikitini ama bomani ni sehem ya wajibu tu. Pia cheti ni utambulisho/cheti ni utambuzi kwamba umefunga ndoa.
Kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya Kuoa/Kuolewa na kufunga ndoa.
Kwa muda ulio uandika hapo juu, huyo mwanamke amekua sehem kubwa ya mafanikio ambayo leo umeyapata. Na hii haijalishi hata kama ni mama wa nyumbani, anahaki zote za msingi tena kisheria juu yako